Proceed with caution.
Niko town… Wacha nianze safari
Tao kunakaa aje? Sijafika bado huko na sioni nikifika hizo sides. Updates?
Orangutans sasa zikule copper. This is economic terrorism. Copper halafu jioni tuone zikilia ni kama nyani zimeona chatu
I’ve seen photos of kisumu- kibuye market,tyres are burning but protesters were mindful enough to use the median and not the main road
Tao is calm, outering is calm. Expecting chaos later in the day though.
Hapo ni wapi,niko ABC place na sioni moshi mahali popote.Otherwise Riggy G need to protect me as I go home ata kama nimetoka maandamano