Waititu........

Huyu mujamaa amenifurahisha Sana Leo. Yaani all the other Pangani Five wanashindwa kupata usingizi wakiwa police Cell, lakini Waititu anaokota usingizi kuokota. Kazi Ni Ku turn Tu,kupinduka Na kujitandaza poa? Yaani Ile msee anafungua macho morning anauliza Muthama saa,anaambiwa Ni saa tatu asubuhi…anawauliza kwani Ni mapema aje Na kupinduka Na kuendelea full throttle!!!

Huyo msee amenibamba Leo Fathers day.

9 Likes

mlikuwa nao ama:rolleyes::rolleyes:

:D:D:D:Dhuyu ndiye angekuwa kingpin wangetupwa kamiti…

Pangani cells ni paradise. Just go to Kamukunji ama Industrial Area Remand ndio utajua chips ni viazi na carrot sio mboga.

2 Likes

If anybody knows cell protocols, it is Waititu.

Usisahau Waititu alipitia Kibera… He used to live there pale slums

1 Like

In fact hata haoni Kama alikuwa Cell if most of the time alilala poa kushinda kwake home.

3 Likes

Kuna siku tukienda night club mnight makarao wakatubamba …Wueh tukaenda kamukunji…Since twas around 11 or midnight hakukua na OCS so twas the cops running the show… Kabla cell zifunguliwe raiya tukaambiwa mwenye kujitetea ajitetee… Wacha cell ifunguliwe… Weeeeh ile stench ilitoka uko alafu kuna giza alafu unaskia Machokosh mafisi wale wakubwa kubwa zikisema leteni hao tuwashugulikie… Nilitoa five hundred kama nimepatia afande na walikuwa wanataka two sock… Karao alicheka as he let me go with other guys who had also chotad… Tulitembea hadi Monte Carlo reggae club… Mnakutana and other coppers na hawasumbui cz wanajua mmetoka kushugulikiwa

5 Likes

Hahahahahaha Thank your Gods hukuingia huko ndani. The Hekaya section in this village would be full of your stories. Luckily for some of us some milk and cigarettes did us a favor inside.

2 Likes

Ndio baba yao. Na pillow ilikuwa kiatu

2 Likes

Saidia Rink tafadhari. Asanda.

My friend kama haujawai enda cell take this advice… Let your shoe be your pillow… Wanna know why? Cell mtu uingia cell na kiatu moja… Ile ingine unawacha kwa OB. Now when sleeping and u have your shoes on na ni Njumu Kali… Jail birds will take your shoes ukiwa dead asleep and then hide it… Ukiwachiliwa hauta kuwa na kiatu to prove ile Uliwacha kwa OB ilikuwa yako so u go home barefoot… Jail bird will throw away his Chokosh shoes and wear yours akitoka and voila

5 Likes

Bwana kuna viatu zingine ukiweka kwa kichwa utahitaji panadol.

1 Like

Rink Ni Mimi. Trust and obey.

hata belt wanaiba

Belt kama ni kali hio sahau…hata wale karao wako OB ndio wataiba since mtu uwacha belt hapo penye wako

ha ha kwani wewe ni jailbird. you seem to know so much

Been to police cells thrice or is it four times and I learned alot. Mkiwa cell… Kuna ka friendship fulani utokea btwn prisoners… Apa ndio unapatiwa hizi mawaidha