Watu wa Kiambu mlijichang’anya hapa. Kaba gùtongorio nì ng’ondu.
[MEDIA=facebook]2600726876619904[/MEDIA]
Watu wa Kiambu mlijichang’anya hapa. Kaba gùtongorio nì ng’ondu.
[MEDIA=facebook]2600726876619904[/MEDIA]
he’s made my day… we need leaders thinking out of the box…
:D:D:D Kuna jengo la mtu liko kwenye Ripalala land, na sijasema YT2
Definition mzuri ya mtu na kiatu
:D:D:D:oops::oops: like seriously he is serious?
Staircase road for the good people of Kiambu county
:D:D:D:D:D:D
Hehe if this river was to be diverted that many times…si hata itasahau ilikuwa inatoka wapi ikielekea wapi
This guy is thick, honestly. Where will the river be diverted or moved to? To the next building, i guess, which will require another diversion and vice versa.
Ghai Fafa…kwani we moved from one mad man to another?
Hapa hata mimi nakubali hii nyang’au ni mshienzi kabisa. MSHIENZI!
Lazima hii ubomoaji inamguza
Kiambu iko na shida fulani.
Sijui ma babu zenu walikosea wapi- lakini kuna shida kubwa sana…
Kabisa. Mshenzi
We are working on it. It is one of the richest counties because of proximity to the city. But ngonja tuu…we are coming up the ranks.
Afathali wangeishi na pride ya Kabogo.
Huyu charlie Ana shida walai. Old age comes with wisdom lakini hii yake nayo? Damn
And this is before we get to Wamuchoma wa Micara (Wamuchomba wa Salaries Increase)…
Hii kiti next time mupatie yule jama wamatank.
Hahaha…Does he have advisers?
:eek: Jesus H. Christ!
Hata sijui mbona mnashtuka! There’s nothing to see here. I think the news is the fact that people are astonished by his remarks!