Waititu after insulting Ruto at Ruiru Stadium on Sunday .Uhuru ungemtusi vile unataka

3 Likes
2 Likes

We care,leo ni waititu Kesho ni Mimi, and utakuwa arrested by cops from a specific region

1 Like

Hapo sawa Zakayo … maliza @Wakameat na jeshi yake ya ma mungich akina @Lord_Wanaruona @ChifuMbitika @Electronics4u na kadhalika. Kanyanga shingo, maliza izo tugeges kisiasa na kibiashara bila huruma … hadi wamee akili. Hakikisha it will take them another thirty years kitambo wafike penye Chief rustler hatakuwa … baada ya kuuza natural resources za KE huko kwa valley.

2 Likes

Babu Owino called Uhuru Motor wa Mbwa

Lakini si aliapishwa na notes za CRE mbona arukwe saa hii? Mlileta Ruto cha nguvu now deal with your consequences

This is how it ended for that fool.

1 Like

Ata Sudi alishikwa

Kwani amefungiwa Kwa kernel kama dogi?

Waah

At least amepewa kiti, angepigwa picha akiwa amekiti chini kitako

2 Likes

Tafasali usiniwekee kwa same sentence na huyo 2 brained cells wakanyama. He voted for a demagogue.

2 Likes

Gui. Si ulikuwa chief campaigner wa jambazi.

1 Like

Nabii anajifanya using force is the best way to fight opposition. Meffi yeye

Are you pro-waititu or pro - ruto… tangaza your stand…

1 Like

Pro murima

Murima gani?
Tukutane Murima ya ngong hii Thursday

1 Like

Amefungiwa na tricycle padlock kama mutina :green_emoji: