Waititi jameni! Mabati peleka kiambuu

[ATTACH=full]235547[/ATTACH]

Sasa Governor wetu anakujia wapi kwa hii thread seriously? :rolleyes:

Ndiye mwenye hio nyumba,na ameweka mabati muzee kwa roof.

Skip to 1:46 ujue governor anaingilia wapi

He he he probably looted mabatis from one of the County’s projects :smiley:

Upperhill is on steriods

Hiyo nyumba ni yake

Why couldn’t he give it a fine granite finish on the top?

Kiambu count stolen money

Next time atakuwa anaonea Kiambu kwa advert ama Kamiti

ni ,abati unataka au office space?

Hiyo unaona nikama office building ama ni bar & lodging… Angalia poa buda

Nobody is going to Kamiti, even Kidero. Mambo ya dam iliisha after a lunch date hapo DP’s office. Us wananchi are on our own.

https://2.bp.blogspot.com/-JoeNOy58WRE/XIVB4gdA8PI/AAAAAAAAADw/XDMNTSnKVlEj4LSORg6Moq22Rb5kpES5QCEwYBhgL/s400/The%2Bold%2Bman%2Bhis%2Bwife%2Bthe%2Bdonkey%2Band%2Bthe%2Bcritics%2B2.jpg

Stop being pessimistic… watu kaa nyinyi ndo mna fanya these f-uckers to prolong the f-uck

Hizi vitu za primary delete bana…huyo ni UK na Arap Loot-All :smiley:

zinaitwa life long lessons…

halafu kama ni UK na Ruto nyinyi nyinyi ndio hao mnawaambia wabebe punda?

Ziii… wacha wabebe madeni pekee yao hio 666 hatutambui

Poonder amecheka