Wairia Amesema Hakuna Uchaguzi Unafanyika

[MEDIA=facebook]id=389509686448899;type=video;user=thikatowntoday[/MEDIA]

Ati hakuna election ?

Alisema kila mkenya ana pewa ngombe ya grade ya maziwa ata pale pipeline 18 floor bedsitter ! Wairia the 5th !

:D:D:D:D hii umbwa falaa huwa na vitisho. kuna time alisemanga Nairobi hatuwezi pata maji ya ndakaini Dam tukiendelea kuchukua yote ati atafunga . the next day nyumba yake ya karen na rentals zake pale langata zikakatwa stima na maji for one week ilibidi apigie Sonko simu akilia na kuuomba msamaha :D:D:D:D

Wairia is a mad man. He has an exaggerated view of himself

Lectifier:D:D

Fala mangaa huyo