nimefika. hiyo inamaanisha uko na utoto lakini bado haujaingia kwa umama. if you had dreamt umeshikilia ile jumping rope na m she ako hapo katikati akiruka hiyo ni umama. for now unaeza saidika kabla uingie kwa umama. ahsante sana
such dreams always ended ukiambia your friends that umekazwa na mkojo then you go to a bush and urinate only to wake up covered in wet beddings sa dream yako haikumalizika,part two ni leo