wafungwa wapokee neno, asante mwami

[ATTACH=full]114060[/ATTACH]

hii tuliona lini wazito?

kama uliona kabla kibaki achagulie, kuna wenye wameingia ktalk wakati wa uhuruto. pita tu, bora post haikutusi ama kukudhuru kiafya.

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/mbona-wafungwa-wanateswa-hivi.52631/

Sasa kuja nyenyenye hapa

2 Likes

Hii tuliona wakati minji minji Alikuwa akitaka kuania kiti cha ufalme huko the land of kirinyaga.

kabla Ajayi Crowther aokolewe na captain Henry Leeke…

2 Likes

hii tuliona kabla ujipige punyeto nayo

2 Likes

Hi tuliona siku tanzania bado illitwa Tanganyika.

Methuselah akiwa toddler!

1 Like

On Abraham’s circumcision day.

1 Like

Tuliona ata kabla ujoin ktalk ukiwa tu pale chatting kwa comments za pornhub

Mateso bila chuki, the guy with a sweater can’t coordinate his eyes with his hand

1 Like

Wakati Oliver Kahn aliangalia Ronaldo wa Brazil na kutingisha kichwa Mara tatu na akaketi chini na kutoa gloves na kuzigongesha chini final ya 2002

1 Like

Kabla dr hajawai degree yake ya medicine

Hii tuliambiwa na Delilah ndio alitumia kusafisha Samson macho atumie nguvu yote kumkamua alale ndio amkate nywele.

Hii tuliona wakati Wang’ombe wa Ihura decided ti attack chief Gakure huko Mugoiri.

Princess Elizabeth akiwa Treetops Hotel.

Hii ni homoerectus post repetition

Tuliona kabla babuon ajue Canaan ni wapi…

[ATTACH=full]114105[/ATTACH]

1 Like