Wadau..

Msilisema tukifika wapi kwa.hii mambo ya kutuma fare ndio mtu ajue ni scam…

Nko hapa pa…
Unaweza nikamia cz sina pesa ya fare…

Nataka kupeleka kunguru rhumba pale club signature
Kunguru wa rwaka…

Sounds like a solid plan. Muendee aende akunywe 6k, akuwekee pishori akuibie hadi ngotha.
Or just dash to sj with 200 like ¾ of talkers

Arimis kubwa ni 30 bob

Wakubwa tumetusiwo.

Mkiwa na nani?

Wakubwa wenzangu.

:D:D:D:D:Dpewa maziwa kwa bill yangu

I have opted to holla @kunguru wa uon toka hostel pale ngara

:smiley: :smiley:

:D:D:D

aaahh you should know:D:D:D:D:D