Wadau

Ni wapi msee anaweza buy car spare parts very cheaply in wholesale hapa Nai? Preferably at a very cheap price and a one-stop shop yenye unabuy everything you need to retail hapo tu. Asking for my uncle.

Uncle @Uwesmakei si ako na x6 already?

FISKED

Wholesale? Ngumu. Pengine Port of mombasa. Retail ni grogan na baricho road

Asking for a single mother,right?

mbona tu usiingie sharjah industrial area mwenyewe? return ticket ni 25k on airArabia. utapata everything you need huko and they will handle shipping for you.

:D:D:D:D
Kuwa mpole. noogle.

Ni nini mathighs?

Hakuna msee anaweza ziendea tao akitaka kuuza retail?? I am sure kuna wenye huuzia retailers juu sio kila mtu huji-importia.

I know someone ako Dubai anafanya hio baishara, u just send the list of the things you want