Mimi huwa MTU biashara halali or otherwise, sasa kuna jamaa amekuja na Mali anataka kuzikinda,sasa problem imekujia hapa anaanza kusema dukani inauzwa hivi na yeye ataniuzia hivi ,imebidi nimuite humber ,kusema ukweli nimekosea?
semeji ongeza yeye ghasia na kofi mbili muoto
humber ni nini @Wakanyama??
Sasa mtu huwezaje Nunua mawe ya kuibiwa
shemeji niaje
ni mbwa
si napesa?
Hujakosea
[ATTACH=full]158474[/ATTACH]
Huyu anakula nyama mbichi kwani ni Ethiopian?