Mko vipi
Mbona nikinywa maji leo na feel ikiwa na viscosity??
Mko vipi
Mbona nikinywa maji leo na feel ikiwa na viscosity??
Efidens ya maji tukusaidie.
Kunywa thinner , it will help on the viscous water.
Na hio viscosity ni high ama low?
But only half a glass. Any more would be lethal.
huyo viscosity ni nani na anaishi wapi ?
ni mate uko nayo kwa wingi ndani ya mdomo, tema kaisi kabla ukunywe maji tena
:D:D:D haha lkn vitu zingine mtu husoma kwa hii kijiji lol