Wadau wa betting kujeni tusaidiane

Hii mega jackpot mnaonaje tukiichambua sisi wote wenye hubet.Hatuwezi kosa kula bonus.Nikiwekelea I always get 11 to 12 games so let’s try and see if we combine we can at least get 14 to 17.
1.@Duke of busia=Burnley vs Brighton

2.@Destro=Huddersfield vs Everton

3.@Mr jailer=Burton vs Bolton

4.@Quadro K4000=Nottingham vs Bristol cit

5.@Raheem8=Blackpool vs Shrewsbury

6.@bollingo=Sheffield utd vs Preston

7.@123tokambio=port vale vs Carlisle

8.@Patohazard=QPR vs Birmingham

9.@Habilis=Charlton vs Blackburn

10.@Mshikadau=Plymouth vs Rotherham

11.@tommy Lee Sparta=Morecambe vs Cambridge utd.

12.@Mischief=Newport vs Cambridge

13.@sludgist=Colchester vs Swindon town

14.@MANKY=Oxford Utd vs Rochdale

15.@1776=Accrington vs Lincoln

16.@hakimoto=Crawley vs Crewe

17.@Notorious B=Strasbourg vs Nice.

This jackpot with all those English games haiwezi shindwa…

Nikujaribu tu

I like your idea. Wacha nichambue yangu…

Hata mimi

Hebu nitagie hawa wengine nimeshindwa

Chambueni then I place the bet. Nitarusha kakitu

Wueh na vile team za england zimejazana karibu zote.

Anyway

** QPR WIN

hii ni ngumu, tuanze na ya midweek

Mwenye anajiskia awekelee tu,hapa nikusaidiana

Hiyo game nimekupea hapo unaonaje

Burnley win

juu hamujanieka, kojoeni nyinyi wote:D:D:D

So you want to mean all these guys are gamblers, good luck anyway. Mtu akishinda asisahau wanakijiji

si we ni DJ

Charlton vs Blackburn

Charlton win

Accrington vs Lincoln

Accrington win

Maliza mhindi

just pick a maxi of 5 teams those with somehow sure win weka stake mzuri sikosagi atleast 18k n above

port vale vs Carlisle
mechi nugu sana, but I predict a draw based on Carlisle…

Hapo sasa.nitaiweka hapa after kila MTU ameweka prediction yake.