Wadau Tuwache Pombe

Weeeh! Aki siguzi pombe hadi Christmas. Yaani hadi choo inanuka tu pombe. Pombe inafaa kua starehe lakini hii sasa ni hujuma. Halafu naona zile upuzi nimeandika hapa hadi naskia shame sana. Fuck. @administrator si usaidie mimi kudelete hizi upuzi nimeandika jana

Hii ndio ubaya ya kukunywa pombe ya bure. No one ever complained about too much alcohol that they themselves bought. Kweli urongo?

Pombe mingi ni pombe mingi wether ya bure or not. Lakini I get what you are saying. Ukijinunulia unakuanga umejiwekea limit sana sana.

Niaje msee wa keg?

Poa sana. Lakini nimewacha pombe hadi chrisi

Kwanza gk. Mambo ni black tu pale chooni. No wonder kwa advert wanasema made of black.

Stop drinking cheap liquor.

Sasa new hobby ni kurarua Msooomali pale South C. Ni wazuri lakini, had one pale Pango.

Nani amekuuliza haya yote ??

Pombe ni Haram. ISLAM IS YOUR ONLY SAVIOR

Uko wapi nikutolee lock?

Hata ukunywe single malt matokeo ni urinal. Naonanga watu wa expensive alcohol wakiwa wajinga

nimeingia thika road hapa jifiche for early lunch

SI umesema umewacha pombe, nugu hii kumbaf

lunch si pombe

nishatoka anyway, nimeingia hapa USIU liquor lane kiasi

:D:D

Speaking for self…I was very entertained. Nooo please don’t give up the alcohol…I like such posts…

Si vile. Expensive haikupatii hangover. But it has to be the real stuff, not the backstreet flavored things.

Guinness naonanga ni best value for money. Ningekua mtu wa single malt I’d have gone for the cheapest. But Fiddich is still to expensive in my opinion. Guiness is a great drink at a cheap price. Wacha kina uwes waendelea kulipa nonesense prices basi. Makali ingine yote ni shit, I don’t mind tequila but hunilewesha too fast