Kina @pamba na wakUMBWA wengine naomba mnisaidie kujua visiting hours za langata womens prison na kama kuna chochote mtu anawezabebea mfungwa ako huko.Nitashukuru sana
Condom tosha,kama ni conjugal unapitia
salimia Ngirita please…
Ujumbe?
Funda wewe,sio Konjugo naendea,nadai kuona my former principal.
Back story of how she got there ?
Toiletries ni muhimu …
She’s the one who is accused of murdering the principal Kiru Boys
So vitu kama hizo hazikatazwi huko.
We know she did it
Wadau watafute hapo chini kwa jamii forums.
Utawapata na kiherehere mingi ajabu.
She is innocent until sentenced as long as am concerned.
Kwani wakamua dota yake
.Jagathi ino.Ni vile i owe her alot imebidi atleast nirepay some of her kindness by paying her a visit.Pahali alinitoa ni mbali zaidi maanake kama sio yeye pia mimi ningekuwa kamiti au Shimo la Tewa.
Ukitaka dota,naweza kupigia through pass …ni yellow yellow na iko pale UoN.
Buda niaje? Kwani kuliendaje?
hivyo umesikia,meff
Vipi mdomokauka?
Ubaguzi at work
Always don’t forget to carry…