Admin alikua ameiba login credentials zangu. But sasa iko ngangari.
Wacha niwaoshe macho as we move…
Kitoeo ya pasaka…
Before…
[ATTACH=full]433210[/ATTACH]
A few moments later…
Admin alikua ameiba login credentials zangu. But sasa iko ngangari.
Wacha niwaoshe macho as we move…
Kitoeo ya pasaka…
Before…
[ATTACH=full]433210[/ATTACH]
A few moments later…
Eat well, live well.
Long live D Mungai
Welcome back
Village CSI kazi kwako. Rudisha jamaa kodiaga…
nice meal
Hiyo nywele inafanana kweli?
Maybe he is a hairstylist too ![]()
[ATTACH=full]433214[/ATTACH]
iyo mali ni safi. Welcome back
[ATTACH=full]433215[/ATTACH]
“luwere nyasaaye akulinde”
Weka signature kamA hii ya Navy seal uncle Uwes mining oil, fracking. ndio tuamini
Niaje Daktari. Welcome back brother. Kuna watu hii kijiji wako na wivu kama wa shetani ibilisi na wamekuwa wakikerwa na ufanisi wa wengine. Baadhi yao wamekuwa wakikusengenya lakini usiyajali haya
Umekuwa Joseph Kamotho sasa?
umama itakumaliza mzee
Mgisu hakuna vile unaweza ongea na watu ya TLB. Nissan sacco za kimilili zikuwe zinazunguka hadi kigali. Huko lazima ni land ni kule hizo toto za kigame.
ulipewa early release kutoka rwandese prison?
wapi thiem na ule msee wa monaco wa kumwagiwa ndani?
[ATTACH=full]433233[/ATTACH]
Ndio tunaanza safari, escaping to somewhere. Keep it locked by jioni macho itakua imengaa
Wapusi hao
Hao ni kina nani sasa? Kigali Niko huko in May.
Huyu ni mschana wa hii Nairobi. But ukona kitu kweli wewe?
Ama kazi itakua kujishutia shutia tu?