Wadau nili mess mazee

so kuko hivi

about two years ago nilichukua singo matha fulani ana watoi wawili. boy na dame. tukaanza kuishi pamoja. dame alikua bado ananyonyesha banae but nilikua nakuta hizo vitu sometimes katoi ka dame kanalala na sisi kwa bed. So corona ikaisha shule zika open nikapeleka mtoi wake boy chuo private school fulani hapo hadi nikalipia transport na lunch. Kila mwezi nampa doh ya food na kadhalika kushughulikia hao. some times nilikua nampa doh ya food nabaki niko down bana hata siwezi link up na friends or do some abrupt shit. While doing all this mtoi wake boy alikua destructive ananivunjia vitu kwa hao ana toanisha tiles but huwezi mshow any mamake anaaanza kulia unawatesa so unakanyagia. Huyo mtoi hata watoi wa neiba walikua hawamtaki juu ya kusumbua some times anagongwa ngoto mbaya. Kitu ilifanya nigundue nabebwa ufala ni dame alikua anashinda online the whole day na hao ni chafu ajabu. Ukimshow atengeneze atleast inakua argument. Beddings nazo usiongelee chafu ajabu kwanza ya mkidi wake analalia. Ukijaribu conversation bout hizo stuff inakua ni kama unampa pressue mara anasema ako depressed mara ako na thoughts mob. So nikapiga hesabu nikaona hapa nabebwa ufala. Nashughulikia kila kitu yaani the least she could do is keep the surroundings clean and presentable. I kicked her out after two years of shit and kubebana ujinga. Watu wa embobut forest I failed you. I thought mimi ni shujaa nitafuga single matha nimerudishwa reality maze.

slow day admin… hii peleka facebook.

Sana

ulikuwa umekosa nini ndio ufanye ivo?

Did she willingly move out? Most women create a lot of chaos when they are kicked out.

I stopped reading after this. You are more foolish than @kush yule mnono plus @magreb combined

ilikua balaa

nilikua na upuzi tu

Unaua mpaka senior villagers banange…

Hajapita @Ndindu

Usijali,I nearly found myself there, cold shower ndio iliniokoa

Haya. Sasa soma red pill books, solidify your ground and your lessons going forward… tusiskie umerudia hio makosa tena.

I was wondering mbona umepotea mtandaoni hivyo Kumbe ilikua balaa tele. Hakubakishii hata za bundles ilhali yeye hushinda online siku nzima hadi anasahau majukumu yake.
Bwege kabisa.

Alipo-move in aliacha kukupea kuma after how long?

alikam na sob story refu sana nikamhurumia juu hakua na place ya ku stay. lakini ningegundua alikua anabonga shit sana juu ya watu wote wamewahi msaidia. Kila mmoja wao alikua na kasoro fulani according to her. Hiyo red flag ilinipita

wewe ndio unajua sasa the last four/five months imekua ina trickle kama vaccine

Mwiba wa kujidunga hauna pole.
Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake. Haraka haraka haina baraka.

Share responsibility. Kama haoshi stuff etc, basi abuy food na kulipa rent and vice versa

I am sure the first month ilikuwa more fire

alikua hana job