Wadau naomba usaidizi

Namaliza shule next year.
Mimi sitaki nitoke shule alafu nianze kuuliza serikali inipatie kazi.
Najua serikali has created an environment for youth to do business and I want to take advantage of it.
So wadau naomba usaidizi. Nataka kufungua kampuni. Nimeshalipa 150 bob kwa e-citizen to reserve a business name.
Kutoka hapo what is the next step?
Thanks.

Have a big penis. That is the next step.

9 Likes

Savage!! :D:D:D:D

Nilikuwa nadhani Ni maji

2 Likes

So umekuwa ukipiga kelele hapa ya Uhuru Ruto nyef nyef Jubilee kumbe you are just some jobless broke ass campus student.
Maliza shule kwanza ndio utajua environment ya mtoto wa Uhuru na yako kuna tofauti kubwa sana.

8 Likes

:eek::eek::eek: Guyz, no need to go ham bana. :D:D:D The political affiliation should not mean that he doesn’t need help with other things yawa.

1 Like

Wewe unapayuka uko na pesa ngapi kwa account?

He should forward his posts to Uhuruto to let them know that he’s a die hard fan and things will fall in place. You don’t need to suffer in this country if you support the Jubilee guys. Tuko pamoja?

2 Likes

Hii ni joke? mimi sitaki kuwa lazy kama wewe. wewe enda urushe mawe on 4th alafu uzipeleke bank

2 Likes

“Ama namna gani?” in Ruto’s voice!

1 Like

Nani anatafuta usaidizi, ni mimi ama ni wewe? My account has got 6 figures so izo mawe hazitapa space you peasant

:D:D:D:D:D. Don’t say Ruto, say Arap mashamba

1 Like

Weka evidence ama uwache kupayuka

Ndio ukuje uniibie? Nimekuonea 18 shiny eyes

Clearly shows huna pesa. Ni kupayuka tu unajua. I would advice you badala Ya kurusha mawe utumie hiyo time kujijenga.

Boss, not everyone is as poor as you are. Some of us are made men.

kupayuka ni bure. jienjoy.

Sawa…but on a serious note your entrepreneurial initiative is the way to go so you are on the right track.

1 Like

Thanks for the advice and encouragement.

1 Like

Align yourself with the sector that arouses you interest most then focus to understand what it takes for your action. Can be a stockbroker, real estate agent/ developer, transporter.[SIZE=1]you can start with a mkokoteni. [/SIZE][SIZE=5]Follow your DREAM. [/SIZE]