Wadau kuna dem nimewai dhani nimeangukia kumbe mi ndo nimeangukiwa.

Dem alianza ka customer wangu wa movies & series, alafu alikuwa fine niaje… so kuna day alidai nimsakie keja anadai kuhama place ana stay.
Mraiya nikaulizia hapo around nikapata… so kuna day alipitia ku buy series nikamsho nime get hao akuje nimpeleke acheki.
Tukafika hiyo base yengs akadai mansion imem-nice… akachapia caretaker amuwekee ata quom wikendi ku settle.
Wikendi nikacheki yengs akihamishiwa vitu na mraiya ya mkokoteni… akanigotea akipita. Ilikuwa saa tatu.
Twelve thirty yengs akanitext ati amemada kupanga hao nipitie anipikie lunch as a show of appreciation, boiz nikamsho ntapitia.
Getha ya saa saba msee nikafunga shop nikafika mansion ya pengting… hiyo keja ilikuwa comfortable hadi una feel tu ku crush over.
Huyo dem alikuwa campo bado but alikuwa ameamua ku stay nje… boy nilikuwa natamani kuweka mguu kwa meza nisome gazeti but nika maintain.
Yengs akanikaribisha na hug, alafu ni wale madem wanajua ku execute hug… yaani anaku hug una feel nipples zikikudunga soul.
Alafu after kukuhug una feel scent yake ikiendelea kukuhug…!
Boiz nikakalia bed coz ilikuwa bedsitter, kinyambis ilikuwa comfort zonemsee… seventh heaven.
Lunch ilikuwa brief coz ilikuwa rice na tomatoe stew… dem alishiba but boys hiyo ilikuwa appetizer bana nkabaki na sip tu juice.
Yengs akadai nimpige company for the afternoon coz hajui mtu hiyo ploti, boiz nikaamua issa date.
Akanisho nipande kwa bed nisonge kwa wall then akani join na lappy akaweka muvi, yengs akanilalia kifua bana.
Mood ilikuwa kama demonstrations za NASA, no erections no kigongi… boys nilijikaza ku impress huyo empress.
Sikutaka kuchachisha vile mi ni pervert, game nilificha chini ya waba hiyo day.
Msee nilikuwa heaven on earth, alafu shida ukiwa in a good mood time husonga haraka… nilitoka huko 7:20.
Yengs akadai nimtembele kesho yake coz itakuwa Sunday.
Sunday nilifika kwake 1:30 kama nimeshakula lunch coz sikutaka kukula rice na tomatoe stew tena… hiyo ni chakula ya kuku.
Boy child nikakaribishwa na hug alafu nikachukua ma position kwa bed ile side ya ukuta nikama niko kwangu, yengs akaleta lunch.
Alafu ile siku nilikuwa nimedharau lunj yake ndo aliamua kupika spaghetti na meat stew bana, alafu nikaletewa na juice ya picana.
Nlikua nimeshiba but ikabidi nimekula tu hiyo lunj ndo iende ikuwe acquinted kwa tumbo na ile lunj nilikuwa nimekula earlier.
Hiyo day nilishiba hadi kwa Adams apple msee, I swear ninge yawn yengs angeona vipande za nyama hapo kwa shingo.
After lunj tukaamulia muvi, yengs akalalia kifua kama kawa, alafu alikuwa ameleta snacks… tu biscuit na njugu tuki watch.
kitu 6 hapo dem akasunda lappy kando akaniangalia akadai, “let’s talk”… mwanaume ni kufikiria na msolokombo so nikajua ni kigongi related.
yengs alikua bado kwa kifua but ametilt kichwa design ananiangalia nikama anataka kupewa mate… concentration ilikuwa tiambo.
yengs akaenda straight to the point, “ive been hurt before and I hate chasing men, so I’ll be honest, I like you very much”.
boy kichwa ilikuwa ina rotate ka earth kwa axis, yengs akadai hataki ku beat around the bush nimsho kama nadai relationship na yeye ama nuh!
Boiz sikuwa na time ya kutumia akili kufikiria, ikabidi nime trust guts zangu… guts zangu zilikuwa zinadai ku get laid so nikadai “yes”.
Umewai jipata kwa relationship bila kurusha mistari, yaani uliamka morning ukiwa single unarudi kulala in a relationship msee.
Yengs akadai siendi home nta spend kwake coz ameboeka peke yake hiyo ploti, boy child nika itikia willingly.
Supper ilifika kama bado nko na lunch kwa tumbo, yengs akadai ni feel at home akiendea supper…
Si boiz mguu ya left ikapiga mguu ya right double decker nikama niko kwangu , kitu nilikosa ni gazeti tu.
After supper yengs akakuja kuni join kwa bed after ku soak viombo, akasunda lappy kando cuddling ikaanza.
At this point sikuwa sure ni nani ako in control kwa hiyo relationship, yengs alikuwa ana set pace kila mahali.
By the time nilikuwa nimeanza kuzoea cuddling alikuwa asha graduate kwa kisses, kidogo kidogo nlikuwa uchi msolokombo iki directiwa kwa ikus.
At this point nlijua ni kukula dry fry, cd tuliachia cd player… it was all fun and games hadi vile nili cum na dem akadai “more”
5 mins later niligundua huyo yengs anapenda siecs kama fwacken…
msee nilikuwa nimeisha nahema lakini ameni grab kinyambis nikama anataka nipotelee ndani ya ikus.
Shot ya pili ilinipata kama nko karibu kukufa dehydration msee, na ndo yengs hakuwa ame climax… miguu alikuwa ameweka hadi kwa kichwa.
Dem nikama alikuwa yoga class na mi nilikuwa training ya GSU kiganjo msee… nikitoa anaingiza, nikimwaga anamwagikiwa.
Hiyo siku theme ilikuwa “Mollis nimeshoka…” and other stories.
By the time ametosheka boy child nlikuwa na muscle pull kwa msolokombo, nilijikunja kwa side yangu na kudos direct.
Akabaki akijiambia ati “Hunnie you were great…” kigongi ilikuwa kama cross country, unamaliza unatamani glucose.
hawa ni wale madem huamki morning glory coz ameku drain kila kitu usiku, hiyo morning unang’orota na finyo ajue umelala…
Morning mraiya niliamshwa niende kupiga shower… ilikuwa life in London. Nllitoka huko na kuingia works msee.
Nlifika works nikinukia fresh na nguo za jana.
Mraiya nilikuwa nimeanza ku evaluate kama nimeangukia ama mi ni play toy tu coz kigongi ilikuwa back tu back kama days of the week.
Alafu ploti yao ilikuwa a few blocks from place nadunga works so route ya kuingia kwake ilikuwa tu hiyo moja.
Akaanza kupita na maboy, kwanza ilikuwa ati classmates, then cuzo… shida ilikuwa ati wakikuja jioni unaona wakirudi kesho yake morning.
Since si mimi nilirusha mistari nikakanyagia hiyo riba ya kuuliza ni nini inaendelea… then kuna day niliacha jumper kwake.
Alafu hiyo day njeve ilikuwa majority nikiwa works nikaamua kurudi keja yake kuchukua.
Mans nikafika ploti yao nikaingia kimangoto ni kama ni kwangu nikapata kifadhela kimedoz katikati ya bed na vest na short.
Ikabidi boy child nimeji excuse nikavako “wrong house” nikafunga mlango. Yengs hakuwa ndani but hiyo ilikuwa keja yake.
Sikutaka noma nikaamua kurudi works, kufika stairs nikakutana na yengs ametoka shop ku buy maziwa… sikubonga nilimpita ka stranger.
Mraiya nilidhani nimepata kumbe nlikuwa tu kama msee amepanga line ya ATM anangoja ku withdraw doh zake akiendanga.
Enyewe when the deal is too good, think twice msee… utamu wa relationship ni kufukuzia ikus kama arsenal waki saka epl title… BOOM!
MORAL OF THE STORY: Pombe yenye umenunuliwa ni tamu kuliko yenye unge buy mwenyewe, lakini kunywa ni kama we ndo utailipia.
Vhindu vichenjanga, unadhani uko relationship kumbe uko WhatsApp group ya wanaume but dem ndo admin.
Tangu hiyo moment, sijawai enda kutembelea dem tena bila appointment… Hata kwangu dem akini tembelea na niende choo, mi hu knock kwanza ndio niingie.

Hehehe oya @Ice_Cube c kuna hekaya kama hii hapa ama mm naota

Umerecycle hekaya but the writer aliideliver vizuri

Africans problems

Can’t relate!

Ni kama siku hizi Administrator analipa wasee waeke hekaya

:D:D:D:D:D:D

Inaumisa kusoma hiyo pidgin ya yengs na other ghasia but risto iko sete.

:D:D:D:D:D:D:D why copy from twitter??

Itsy been posted here before by someone else.

Hizi ndio story wadau wamekua wakipiga pale twitter over the wkend…ati msee ameenda kwa dem bila appointment akapata mraiya na lappy yake na jumper yake akicheki movies kwa keja ya dem…ikabidi amefanya vile @Mchezaji alifanya ‘kujifanya ni wrong house’…wadau stop stealing content from twitter or atleast acknowledge the source…

hata kama hii imeibwo,hii part imenimurder :D:D:D

[SIZE=7]Kabla yesu aende Gethsemane [/SIZE]

Sounds like crazy Nairobian.

Mwisi wa hekaya YENGS - Sex & Relationships - Kenya Talk
Oct 28, 2017
Posted by @Stinger

mwisi… hata @Stinger alikuwa ameiba

[ATTACH=full]261798[/ATTACH]

kwanza angalia pahali yake ilishia alafu usome mwisho wa yangu.

inaonekana huyo nugu ndo alicopy and paste yangu. haha

hii sisomi haki

So ulikula chakula ya kuku…hekayu iko fyn thankyou

Karibu mdos