Niliingia works 7am nikadunga job had midday nikasema ferk it, siwezi tombwa na housing tax, uhunye na bado job ndio hio. Nikatoa tie yangu nikawekelea kwa kiti na kuwatcha computer on lock screen nikajitoa. Nikatembea kutoka upperhill hadi uhuru park nikatulia. Siku ikakuwa poa.
Siku yenyu imekuwaje?
[ATTACH=full]238086[/ATTACH]