Wadau kujeni apa

Mtu huingizaje dem rada yako wenye kwao ni masos? …

mimi ndio hutext first kila mara…

nimejaribu kuchill siku kadhaa nione ka atanitext lakini zii…

dem mwenyewe alinishow ananipenda juu hata kuna madays ye hunijenga tuganji kiasi twa upkeep…

Man mimi nimejifinya jo lakini nampenda ile mbaya…

nidu aje sasa…

1 Like

Trust me you don’t want to get into that pit…did that a lot in my younger days, stress tupu dealing with an entitled b***h…achana na billionaires wadate billionaires wenzao…(am assuming masos ni billionaires)

3 Likes

Umefugwa kama pet.

1 Like

kama ye si Wakanyama mwambie the avatar he is using is patented

5 Likes

sijamanga yeye bado … so sielewi ni pet kiaje

Kuna mwingine amenichokesha na macalls kibao na venye ni mtalkative. Kwanza call ikipita max 1 minute natoa excuse vile niko busy

kuna wakanyama mwingine?

Rich ladies like straight forward guys. You want to smash. Say so. You want a relationship. Say so. Never take cash or gifts from them. Akikulenga pia. Lengeka.

3 Likes

kusema ukweli tu nataka kusmash , sasa nimchapie ivo sahi

Hapo sawa

Dry spell inakaa njanuary