Wacheni Uongo na Chuki

Dr. Jacinta na bwanake Bruce Strachan, Dr. Betty na bwanake Luke Musau, waliacha baba akakaa kwa IDP camp ama ilikua siasa?

Sababu mnachukia Ruto, mnatumia kifo ya huyu mzee kupiga siasa?
[ATTACH=full]331124[/ATTACH]

Hustler aachwe afanye campaign bila kusumbuliwa. He’s the chosen one.
[ATTACH=full]331128[/ATTACH]

Huyu ndio yule mtu Arap Mashamba alijaribu kuiba shamba yake?

Leave the old mans family dynamics alone. The fact is that shamba yake ilinyakuliwa.