Wacheni kupumbazwa....

Umekatia kamdem… Juu anafeel woiyeee anakupa punani unafeel on top of the world… (Unadanganywa)… But hebu fikiria Kwa makini… KABISAAA!.. Kwanini amekupa, ni juu ya bidii yako ama huruma (woiyee, magwiji ni samehee, wengi (madem) ni wameperfect hii story)… In the same way, ndugu zetu wanasiasa wako na tabia sawa na hawa madem ‘funny’ tunakatia… Ukiwaona hao wafunny unawajua…
Haya, hawa jamaa zetu wanasiasa hawana tofauti na hao madem wataftaji… Leo hii kwa mfano doo mob omepotea Kenya but hebu cheki kwa makini, tuna wa sanitizer wanasiasa ‘tukidhani’ watabadilisha Maisha yetu, lakini wapi! Ni ndoto… Kubwa sana… Tu inuke, tujiimarishe na tujitegemee, Gathecha, Baba, Ruto na wanasiasa wengineo hawatujenga, ila we mwenyewe… Wachana na wao jamaa kapsa… Jijenge… !

Hio miraa unakula ni kafura ya Ethiopia?