Nikama hawaja rudi
[ATTACH=full]488320[/ATTACH]
[ATTACH=full]488324[/ATTACH]
hii kitu niliapa sitawahi kunywa, heri ninumue quarter ya general meakings na soda ile ndogo lakini hii low budget guiness hapana. huwa inacause mwili uchungu na unanuka kama mtu hohehahe
Peasants bado wako shags
Wapi jaba?
Better than normal keg
si wewe ulikuwa mtu ya legend kwani what happened ilitoka market ama nini
Hii notion ya I drink kitu flani kama Haiko Wacha nikae sober. Ni upus. most people don’t know The cheaper the drink the higher the tolerance. Advantage ni hakuna kitu hawezi fagia
Jamaa wa wanchwani you just got my respect for keeping it real:Dtuma till nikubaiye kikombe
Hii ni chuom ya machokosh.
Yaani siku hizi fobe zinabugiwangwa na straw? Initially nilidhani ni keg pekee lakini naona hata Guinness iko kwa mix mbaya
Hio ni coca cola
Hii maisha hapana. Have some dignity elders.
Hapo ni Sophia Joy.
Angalau anza mwaka na VIP classic uwache hao machokora for later in the year
Mbwa.
Happy new year.
Mbwa
hiyo place si utaibiwa sana… very shady lokeshen.
enyewe @cortedivoire ni mtu bottom of the barrel kabisa
He keeps it real . Kuna nyangau hapa hujifanya billionaires na fake refurbished items but wanaishi Kama mafukara