Wa mwisho ndo mshindi.

Eeh! Anakupendaga sana

Sanane nitaenda mjini

Mrembo wangu upo?

Mjini kuna warembo wengi jamani

Jamani waiteni watu waje humu

Hahah!! Sawa mkuu burudani ziendelee tu ila Mjina mrefu akija patakua hapatoshi

Humu wengine wanapaogopa

Hapatoshi wapi wakati nafasi ipo kutwa sana

Sana sana naogelea ugomvi wao kumgombea dada

Sana sana itapendeza ikiwa na marafiki zetu watajumuika nasi.

Nasi tufurahie mapenzi yetu

Yetu sote ikiwemo mimi mpenzim mtazamaji

Mtazamaji na mshenga pia

Pia ndio mwenyekiti wa maandalizi

Maandalizi yaanze mapema nijue na utaratibu wa posa

Posa utaratibu wake hadi uwe na mshenga kwanza

Kwanza kabisa wewe neie utakuwa msgenga wanguu, huyu bint aje uchagani mapema hiwezekananvyo

Iwezekanavyo itawezekana kama utatimiza vigezo vyote vinavyohitajika

Vinavyohitajika vyapaswa kujulikana sheikh,

Sheikh Kipozoe sijamsikia kwa muda mrefu sana