Vuja De

Is it a must utumie kodi? Ama naweza kupea link ya kuwatch using web browser

i have given u two paths…if that does nt work then funga KODI and go kienyegi…enda www.stopstream.tv then football…then tafuta match utapata links mob choose the SAW link

Hio link nilichanuliwa na @vuja de

thanks man ive found the game on woody usa/canada sports/nbcsn.

Supu ya pweza haina athari yoyote kwa masistadu… lakini waweza mpa mumeo au yeyote anayekupagawisha nawe ujitayarishe kunengua kiuno…usiwe gogo kitandani

1 Like

Wewe mkamba hujui mapenzi yalizaliwa Tanga?..Mafunzo ya unyagoni pia yamenoga Tanga braza…ama wajiona mdhaifu kwa mahaba?

Najua kuna mtu amesema ile msemo ya Thìga…

Hebu translate into kikamba priss