Ndo mzito nimetoka kibarua …
[ATTACH=full]87168[/ATTACH]
Ndo mzito nimetoka kibarua …
[ATTACH=full]87168[/ATTACH]
umekamua ngamia ngapi leo
Compare hiyo bus na upuss inaitwa nganya.
Legroom iko sawa jo!
Leo ilikuwa niunde deal ya maana alafu Hangouts inakataa kuconnect. Saitan.
Sasa vile solar inafika 31 hapa nairofi , si kwa Abdul ni 70+
This looks like that kq shuttle bus that takes you from the flight to the terminal ndege ikiland mbali
I think NASA should support Mudavadi’s presidential bid.
Hii haikosi ni ngari ya shinny eye
[ATTACH=full]87172[/ATTACH]
Hehe …
Sai bado njeve kiasi
[ATTACH=full]87173[/ATTACH]
Hehehe hiyo road sign joo.
Kila kitu huko ni kiharabu?
hio ni bus mkubwa ama ni train
Swadakta kanono vpwnbp… Hope umebuy kiatu ya maana
:D:D
Huko PSV hazijaekwa LED lighting strips na ma pioneer huko juu
nguruwe , waarabu watakupika wakukule
Niaje iskalioti … kwani jana kuliendaje pale emirates?