Volkswagen beetle

…Am interested in one…zile za kitambo. Please direct me where i can find one and if you do please post the photos. Am a serious buyer

Ingia olx

olx…tooo expensive…gari zimebeat kuruka…i believe the billionaires in this village wako nazo wameweka tu kwa compound zao na hawatumii…hizo ndio nataka…kwanza hawa wenye naona wanaimport ma 5 ama 7 series kutoka SA…na wale wa toureg. wouldnt mind seeing any other vintage car

Gari zote vintage huwa zimechapa ndio watu huzipenda kuzi restore.

…ichape na ikuwe cheap…shida ni imechapa na inauzwa kuliko gari inatembea

Oh

I can direct you to one, 35k, Iko county, tafta truck ibebe to a garage for restoration

Gari hutembea aje?

…finally…please inbox details . county gani?

[ATTACH=full]58009[/ATTACH] Hio, ka40 is good, inbox your email asap

Even ihave it at my compound for egg tray.With running engine

…please weka picha…am very interested…and inbox details