Vituko Pale Sokoni

Sometimes I sit down and think of my past and the never ending dramas and thank God for seeing me through, and the battles I won albeit at a premium cost are unmatched. A classic example is what happened to me sometime back when being from the ghetto was the in-thing.

So this weekend nko mtaani bila form. Kucheki walenje hakuna any, nkakumbuka nakuwaga na ka mkebe chini ya bed ya kurusha ma coins atleast ni save for a rainy day and literally hio wikendi the rain had really enjoyed itself, kunyesha bila wasiwasi hadi mtaani kuka flood design ingine sijawai ona. After ku count coins za almost 150 bob nkachomoka kuenda kutafuta muguka ya kuskuma siku kwa baite pale Kibra place inaitwa Makina.

Nikafika nakuchota ketepa yangu ya 60 bob, form tosha for a wet wikend and then nikapitia kibandaski hapo ndani ya Toi market, kwanza nijiwekelee angalau ka chapo ndondo before nianze kushikisha.

Kama kawaida pale kibandaskini I was a regular, wale customer wa kutegemewa. Hakuna weekend ilipita bila mimi kuchangia mbiashara pale. Special yangu ilikuwa ni chapo mix … yaani chapo moja katakata, tundondo, ndengu na tumboga hivi, tunyama tuwili turushwe hapo ndani na surwa alafu nishafishe hiyo yote na kikombe moja ya chai. Total damage 35 bob.

Anyways, back to the issue of the day. After kujibonda nikatoka, form ikiwa ni kuenda mtaani pale base nitulize na maboy. Hii kibandaski ya Emma ilikuwa huko katikati ya market na being that the previous night and better part of the morning kulikuwa kume rain mbaya, bado ile uji uji ya matope kwa hutwo tu alleys ilikuwa fresh. To help ease movement ya customers pale, wale wamama wa vibanda walikuwa wamewekelea tu mawe twa kukanyanga ndo ma.customer ka mimi wapite bila shida. You know we had to share the same stepping stones with guys from the opposite direction ku avoid kukanyanga hio matope, so we went in turns.

Turn yangu ikafika na kama kawaida being a ‘healthy person’ that I still am btw, na sahio nimeshiba poa nikaamua kuhop step and jump kwa hizo mawe nifike ile side ingine before jeshi ya hio side ilete jam. Nikapiga step mbili nyuma ndo nigathe momentum poa ya kuinua hio mwili, niruke mpaka ile mwisho ingine. Mimi huyo nikakwom mbio step ya kwanza, tick, ya pili, tick, kukanyanga mawe ya tatu ikashikilia weight yangu for kitu 3 seconds and before niseme tick ika change mind, ika roll. Bahati mbaya instead ya kuroll on the safer side ikani direct to the opposite. Landing zone ikawa ni kwa kibanda juu ya mboga na nyanya za wenyewe. Mimi na kiosk plus contents zote chini, ndani ya ile mix ya uji matope. It happened so fast sikuwa na time ya ku resist.

Badala ya mwenye kiosk kushika nare na mimi alibaki ameshanga juu kila kitu ili collapse tu hivo. Mujamaa ameangusha kibanda, akapotelea katikati ya mamboga na akafunikwa na zile gunia zilikuwa zimefunika kibanda yenyewe. Sijui kwa nini majamaa hapo around walibaki wameshangilia na kupiga makofi badala ya kunisaidia

Kidogo kesi ndo hio ikaanza. Sahio nimegwarwa na hizo miti za kibanda alafu nko na matope kila mahali mpaka kínena. Mimi kuamka priority ilikuwa ni paperbag yangu ya jaba. Nkaicheki pale kando na muguka zimemwagika zikamix na madania na zile mboga za kienyeji. Hapo sikuwa na time ya kuchambua guks from hio mboga so nkachota hio mix yote niende nizisort mbele.

Kabla kesi ishike poa, nko hapo kando napanguza matope majamaa wakazuba, mimi huyo nikakula kona ndani ya matope bila kujali as nilikuwa already mchafu anyways. Nikapitia kwa boy wangu alikuwa na kibanda ya kuuza mitumba nikachange nguo na kushuka mtaani.

Kufika kejani ikabaki ni kusort ketepa na zile mboga. Hapa nilienda hasara juu the only jaba nilibakisha after careful sorting ilikuwa ni leaves ka 15 hivi, hio ingine ilikuwa ni mboga. A day that had started with all good indicators ikaharibika tu hivo hata afadhari ningetuliza tu mtaani. Niliboeka nikamix hizo muguka na hizo mboga kwa hio paperbag nikapatia jirani apike. What more could I have done anyways.

@kush yule mnono hizi hekaya zako uwaga refu but i read hadi mwisho.zinakuwaga poa sana.:D:D:D:D:D:D:D:D

:D:D

Hujawahi pika bangi na chakula?

Hii nguruwe ya Dubai ufanya nicheke sana. Hekaya poa mungich mnono

hehehehe, ati jaba ika mix na dhania :D:D:D:D

Nice hekaya but, mwanaume hanaga Kinena.

Very good material for @introvert

Jabament hekaya, kinena heeeee

Niliboeka nikamix hizo muguka na hizo mboga kwa hio paperbag nikapatia jirani apike.

:D:D:D

Huyu Kush mnono, so ndiye Kate yule Mweupe? na ako na risto mob kama mwenda…

@introvert I can’t believe hujawai chora kanono amid all this interesting hekeyas…

:D:D:D:D

Hehehe…
Haitapita Saturday…

ati jirani akapike hehe, na muguka ndani yake :D:D:D

Iza joh buda! watu walibaki wakidai uko mavitu.

Big gee…pap. Nakula hadi hiyo mboga nidanganye akili nimechana nkt… Lakini pole kanosh woi…

:D:D:D:D:D:D:D:D Ndugu Kuria unamasaibu kweli

https://s-media-cache-ak0.pinimg.com/564x/79/58/6a/79586a15370acd0027a4e07db6dc5ca4.jpg

hahaha uyo jirani akushuku of all the days mbona iyo day uka jitolea kumpa mboga

Good story telling techniques. I like the flow