A woman has climbed on top of marikiti market roof. She is threatening to commit suicide by throwing herself to the ground. Mombasa county fire brigade currently on the scene.
The incident has hundreds of onlookers
[ATTACH=full]64807[/ATTACH] [ATTACH=full]64808[/ATTACH] [ATTACH=full]64809[/ATTACH]
KDF @bjurmann wacha kutesa bibi , ulienda somalia ukawachIa bibi na watoto tisa , mia mbili .
but seriously mtu akitaka kujiuwa si apande na aruke mara moja awache watu wa concentrate kuiba ama aende ile nyali bridge yenye probox iiliruka ikaingia ocean .
Huyu hataki kufa. She is seeking attention na ameipata. Hopefully her problems will be addressed starting with a charge for trying to commit suicide… Pole kwake.
@jumabekavu, wahitajika haraka iwezekanayo! Mgeuze huyu mama fikira asahau anavyotaka kufanya. Mpe fikira za kudhani ako pirates alale hapo juu aendelee kuota jua.
Si lazima uje, nguvu zako twazitambua. Nena tu ulioko na mama ataanza hata kuogelea…