Drinking useless tea in the morning
Kutandika vitambaa kwa sofa set
Kuweka utensils kwa wallunit sitting room
ni sipo kunywa chai asubuhi lazima nitakuwa na headache in the course of that day
I don’t drink tea mimi hukula solid food in the morning. Neighbors hushangaa sana they probably think this guy is crazy. Saa moja asubuhi napika ugali
Mzunga hachanganyi maji na maziwa,
Watu wa wezdan tunawajua
Tangu nigundue pombe,
chai na avocado can’t pass through my mouth
Mluhya wa khwisero return to your Busaa roots
Ovacado ni sawa mkuu, very good for the body
Prayer.
Umeanda high stakes meeting alafu unasikia “let’s start with a word of prayer” au “lets close with the grace”. Nyeuthi wanapenda vitu irrelevant sana.
Haukulangi ile ilibaki supper?
Ama wewe ni wale wa take meals as they come?
Asubuhi huwa nakunywa light drink like tusker cider , snapp or sminoff na cakes or bread . A nice breakfast
I have never seen someone who complains so much on how other people live their lives
Haya bas mama aisha ashawasili
wewe maragoli mjinga kunywa chai yako bila kusumbua