vitisho

i happened to delete phone contacts, i had a friend who we used to keep in touch pale mukuru kwa zuckerbaga so nikamuomba naba yake akanitext but sikufungua leo nimeiona nikaisave na kumpata whatsup, so sijui kama ni naba alikosea went to different person sasa ananitishia ati anaenda polisi ati mi ni conman.
mkimuona huyu mwambieni vitisho za peni nane apatie kina @wamanyau @Wakanyama [ATTACH=full]71008[/ATTACH]

Maliza hekaya yako na mjomba

Not Figised

3 Likes

hekaya nimemaliza

ulipata contract ?

bado but still i wake up every morning hoping it will be better than yesterday

3 Likes

jikaze budah…utafanikiwa tuu

1 Like

thanks alot bro may God also bless you for wishing others success

Huyu ni KYM wa mijengo au jamaa wa kushikia power-saw kamba, usimuogope. The only thing is msikutane kwa sababu ni wale huoga once a week na hawatambui AXE.

niliskia ulienda…yaani ulihaga dunia goodbye