Vitamu vya Pwani

TOP TEN FOODS TO SAMPLE WHILE IN AT THE COAST:
There are many awesome things that come to mind at the mention of Mombasa; the heat, the nightlife, and the beach are just the tip of the iceberg. Coastal food is one of the most phenomenal things about
Mombasa (and the coast in general) because cooking is somewhat an art that has been experimented upon and perfected, by generations of the many cultures that have passed
through there. So what better way to experience the coastal culture than through tasting its variety of amazing food?
Here is a list of the top ten
foods you should definitely try while in Mombasa:
NOTE: It’s all well if you want to
enjoy coastal cuisine at your five star hotel but to fully experience coastal food in its true essence, the streets are the way to go:

  1. Viazi karai with Ukwaju, tomato gravy or chatini.
  2. Sea food.
  3. Labania.
  4. Kashata.
  5. Mabuyu
  6. Mkate wa sinia.
  7. Achari.
  8. Mahamri.
  9. Kaimati/ Mitai.
  10. Haluwa.

http://www.storyzetu.com/articles/10-foods-you-must-taste-while-in-mombasa/

1 Like

injinia nimekuom mbio kuona vitu za kusafisha macho kumbe ni ufala umepost .

16 Likes

Pole Omwami, lakini wakati wote si kula kwa macho tu…

2 Likes

Hata mimi Engineer nili-expect utupatie experience zako na vyakula vya pwani…

2 Likes

Alafu niwaulize nyinyi wazee at what point in life does appetite start diminishing?
Leo nimetia ndani biriani half nimeshindwa kuongeza kitu ingine na a week ago nilikua nateremsha na maembe nne

2 Likes

Hata mimi nangoja majibu…

Nilikua nadhani mahamri ni some delicious food kumbe ni mandazi tu kama za wakorino wa hapa mtaani.

Iko wapi wali ya nazi

ongea kiswahili mboss , sijashika kitu hapo .

Ukipikiwa na Mdigo ama Mgiriama… ndio yale mambo wabara husema “kuingia Msa rahisi, kutoka…”

Leta hekaya…:slight_smile:

appetite ya nini boss? Ya maku mpaka ile siku utakuwa 6 ft deep!

hizi nshazoea bwana…on to the next meal

wabukusu huongea kiswahili pia? maaajabu haya!!

Maharagwe ya nazi
Baazi kwa nazi
Katafunua

Hata mimi hapa nimepigwa chenga na hiyo title…but isorait, isookei!

kwani ulinyeshewa leo. inakaa mwili yako iko na allergic reaction ya maji. tembelea kituo cha jumakubafu

[ATTACH=full]59078[/ATTACH]
Bila kusahau hiki kinywaji
Cc: @Meria Mata

7 Likes

Sorobo

1 Like