Am back.
Wasee ,ile would cup ya Russia 2018 itakua wapi?
Crimea
Itakuwa pale Kimilili ![]()
Ango @uwesmake to confirm kick off time
Na
Nani unaita wak UMBWA meffi wewe
Enyewe wanakijiji huwa na entitlement issues( I included)… Yaani unatoka utokako, kulamba ulambacho… Alafu unadai your back?!!.. Back to do what?
Vladivostok lakini finali ni Sofia