Passed by VIP after a long hiatus to take a few beers. It is almost collapsing. I remember Dave, the owner buying us free beer after Ruto was sworn in. He made good money for the past two years lakini tangu Ruto aingie kimemramba.
Talked to him and he told me that he hates Ruto like satan. Hehe, mzee biashara imempeleka teke hadi anakunywa pombe na glucose kucontrol sukari
Set up ya VIP hukaa kama bar in Busia, renovation and good selection ya lanye is needed especially lanye, lanye huko niliona wamejaa dent kwa uso na wengine bila Meno. ( Mean age yao 50yrs)
Ambiance na pretty lanye ndio inafanya Sj iwe top.
hio ata ndio iko mbaya kabisa. He invested alot of money but target ilikua youth. Huko lanye wa kutega are not allowed. He should transform the space into a strip club. Siku hizi ata aliacha kuleta hao artists.
Target ni youth lakini wamama ni wale walikuwa party na pharaoh, even the regulars walitorokea sj. Angesort iyo place ikuwe na warembo na difference itaonekana
Vile aliona Zakayo na kunguru yake zikisifu mungu alidhani atasurvive na biashara yake ya pombe na maliar?
Let him just become a straight up pimp and stop pretending that he’s running a legit business. Labda atapata faida.
Kama unajipenda usitake kujua tafadhali. Lakini kama wewe ni mtu wa keg, mogoka, na you like spending time na wezi wa tao, hiyo junction ya river road ukitoka odeon, teremka side kuna buses za coast ukiangalia your left side. Penye utaona lanye kadhaa mbovu zimesimama, panda hiyo stairs.
Majority ya wale malanye wamejazana huko ni migrants. Walikuwaga huko bars za Riveroad kama akina Cape of Good Hope, Kericho etc, na wakati zilifungwa wakahamia VIP. Target market yao ilikuwa mabudaa, that’s why wengi wao ni wazee with pots. Hio place huonekana imejaa but ni malanye wengi wameshikilia one drink for the whole day or night