Wangapi wako huku?? Place is packed to the brim. Kungurus are in plenty. Nateremsha faxe nikiwatch game ya City na Wolves. Kama kuna talker hapa ndani ainue mkono
Kuna vitu young young huko?
kwa wingi…
Ukipata talker. Tafuta lanye pamoja. Wewe ukule first then akule next. Atleast Muta salimiana in reality
Then shake hands and pose for a photo. Handshake ya ukweli!
Kuja SJ elder.
Strange, nashuku wale goodhope whales waliland huko. Place must be smelling funny
[SIZE=7][COLOR=rgb(184, 49, 47)]Ata sketch ya faxe[/SIZE]
This guy lures talkers to their doom
Kwani Goodhope ilifungwa?