Mheshimiwa sisi ni Watanzania. Tumekamatwa usiku wa Leo ukiwa tumetoka Mombasa. Kulingana na sheria ya Kenya, huwezi kuendesha gari ikifika saa 4 usiku. Sisi tuliambiwa ikifika saa 4 park gari hapo ulipo mpaka saa 10 alfajiri. Sisi saa 4 usiku ilitukuta kwenye geti ya mpakani na tukiwa tubapark gari askari walitukamata na kutupekeka Taveta Polisi station. Wametuweka kizuizini usiku huu na wanatumbia tunafunguliwa charge…tunaomba msaada kwa Mamlaka zote maana tuliwahi getini saa 4 kamili…na tuna watoto na wagonjwa kwenye gari.
Kwanini kutukamata kwenye geti wakati ndio muda wa ilikuwa unaisha na sisi tumeshafika getini…
Muliuwa kuku zetu,hio ni malipo mdogo mdogo:D:D:D[ATTACH=full]371742[/ATTACH]
Sawa mkuu…
Tanzania tunawajali sana…lakini sisi tukiwa Kenya loh!!!
Nitumie alfu tano ya Kenya nikumalizie haya maneno na nikuongeze accomodation ya mwezi pale Reef hotel bure
Uko wapi mkuu
Niko hapa Kwa ofisi ya gavana, kuja inbox nikupee namba ya simu
Con game! Acha utapeli
Nchi ya kitu kidogoo…
Huu ujirani wetu sio wa kweli…
I agree we are not good neighbors. Please remind us who burnt our chicks…
Utendo wa Kinyama ambao hata mtu mwenye akili timamu hawezi fanya.
Aliechoma hayupo tena
Pole jirani, utaachiliwa bora utoe mlungura. Msalimie shujaa Tundu Lissu ukimuona
You actually thought you’d get sane advice here? So sad.
Tundu ako kenya, amekuwa Spice FM asubuhi
Kuna wagonjwa wengi sana wanatoka Pwani ya Kenya wanakuja kutibiwa kwetu, tuwapa ushirikiano sana. Ila Polisi wa kenya Duh!! kama wameumbwa note kwenye mifupa, hasa wa TAVETA…
Kuna mtu atasoma kama wewe…atachukua tahadhari…
Tumetoka mchana baada ya note kutoka…