Village vocabulary.

Do any of you guys actually use specific ktalk vocabulary in your daily interactions?Today my girlfriend used the word “umeffi” to describe something that didn’t please her. Nikaona wah maybe me hutumia hio word a tad too much.

niliita customer ngombe juzi

:D:D…yule customer wa ekwete

Kuna siku niliita Kipii changu…SAITAN !! wait, is that a Ktalk lingo ??

hapanaa wa hapa kwa shop yangu ya mturaa banaaa

saitan, meffi are normal words out here unless nyinyi ni wazee sana

anamaanisha words normally hatuongei ovyo mbele ya watu but anonymously tu arusha ovyo vile wewe ni mkia ya nyani muzeee

Elimisha hizi Ngombe

Niliambia dame flani anisafishe macho akafikiria namuomba za macho leaving her @confused.

ktalk lingo inabakia kwa kijiji ,ukitoka inje wewe ni ordinary,

Na ni kusefishe mecho meffi hii

Mimi nliitana kunguru… I had to explain it was something else :D:D

Hivyo ndio watu hujianika.

maybe dame wako ni @phylgee :smiley: