Village life

Wadau how do you guys navigate in the village, bana I only head to shagz during December, sometimes I visit 2days only then narudi

But even during December, pale ocha mi huona moto, wasichana wa huko huwa alien sana, Dem ni mrembo lakini amevaa vile anataka, si kama Hawa tunarokota club

Kudeal na vienyeji huwa shughuli sugu sana, alafu the women we grew up with wamechapaa, wamekuwa wamama in their 30s , kuna moja ako na 2kids , we used to drink silly in our teenage years, last December alinihanda sana, but nilishindwa kutomba juu anakaa mama mzee

Let me just cancel this visit ningoje december

5 Likes

I deal with vienyejis wa Marsabit and Samburu at least once a month. Sometimes I meet Turkana girls while in Maralal. That experience has made it easy for me to deal with any village girl.

3 Likes

Ushago kwetu ni Ruai.haha

4 Likes

Lucky are you. Unaweza ushago daily!

1 Like

Ukitaka kukaa kwa ranches poa tafuta Gari Na ukuwe Na kakitu kwa mfuko. Village life itakulemea kama huna pesa Na moving around is a problem. With a car, unaweza Enda starehe Na umalaya mbali Na kwenyu urudi kama kila mtu amelala. You also get to zoom past pesky villagers used to kuomba za kabej

4 Likes

Tafuta brothel ya ushago. You will never suffer in silence

asi!

Wewe @Sanchez11 wacha kuturuka. We know you pronounce mbuzi choma as buzi shoma

Hello, my parents and grandparents live in Ruai. Kirinyaga ni other ushago pia. My grandparents walisettle Ruai kitambo sana. Walikua wale walipatiwa mashamba na kenyatta.

2 Likes

Najua hauna nyumba bro.

semaa dainastee mbayaaa…mbayaaa

@Silverback83 and @Baby_Panay can’t relate.

Naskia watu ya kirinyaga ni wakamba

Nyinyi ndio mlihangaisha wakaaji wa Ruai na ma title deed apo embakasi ranching?