Once upon a time nikiwa Githurai I used to frequent a base where vijana wa mjengo would come after receiving their weekly wages on Saturday. Some kungurus would be around too. Unaona jamaa akilewa anaanza kuingizwa box na kudanganywa na mrembo anamnunulia pombe na food. Kunguru ikiona pesa ya jamaa inaisha kinatoroka na kumwacha. Ukikumbuka vile huyo jamaa alichoka ndio apate those few coins unasikia tu kulia.
Sad! Arimis will never give u these problems
Enyewe we ni mmama,unalilia aje pesa ya wanaume?.On a serious note,fungua moyo hekaya ifuate aste aste.
That is why they go to work. Wewe utakufa na pesa yako?
Hii ndo masaibu ya kupata kuma ka dose ya meningitis
True dat rasta