Vile kuliendanga, yaani, how it went there

Yaaawn, panya @Deorro bado anatembea hii kijiji akiuma wazitoo? Niko na beef na msee wa demio mzee @Grundy niliskia hizo demio ndio zinajaza parking lot za mall :meffi: msituzoee watu wa cheki maneno.

Anyway si this other day i call some guy to enquire about some stuff and how much they would cost, kumbe i had called mtu wa sales…so the guy decides labda ameangukia mzitooo and decides rather than telling/expounding on phone, its better tupatane. He asks me where i work nikasema “statehouse” coz its not too far from there, wash jamaa kumbe alienda and fueled his mercedes benz ati ndio he shows up with it. If only he new atapark hapo tu next na cheki maneno yangu…to cut the long stort, huyu jamaa ni kama aliona amejiwaste sana coz he never made the sale. Remember mimi ni mtu wa madeal na nilikuwa nishapata a better deal.
[ATTACH=full]186726[/ATTACH]

Niko na hekaya mob sana. Lakini kwanza kuna mtu alimanage kuingiza box deerest @Nefertities ama she is still in the market?

Unasumbua mrembo wetu black toilet paper.

Wewe weka hekaya achana na the African queen kwanza.

Btw…si muweke link of what i may have missed in the village…

Zinakuom brathee…tuliza makende

Kuja peana kuma

wamatissue unatusumbua,handshake ilifika mpaka huku,huku hakuna opposition sisi zote tuko kwa serikali

Inakaa tissue za chandarana ziko laced na bangi pia. :D:D:D

Yaani you mean @The.Black.Templar ni Wamatissue:D:D:D

Kwani wewe ni bonoko? Kuna elder hajui Templar Wa-Matissue na ma Mall?
Umekuwa wapi mzeiya?

Sasa hii story yako inaingilianaje na wewe kupotea?

Matissue uko na umeffi, kwani unausiwa tissue studded

In between worlds sir

Welcome back @The.Black.Templar .
This village needs you!

:D:D:D:D
:D:D:D:D:D

Welcome back.

Ile kigogo mpya umeoa inakupeleka aje

Welcome back kijana mpotevu. Unataka uchinjiwe nini

What’s your other handle @The.Black.Templar

Werokamu