Vijana wa nduthi, ni wezi

Hapa ni canopy ,lakini kijana alihurimiwa.He dropped a client, tena akamgeuzia, akasnatch phone. Nduthi yenyewe ilichomwa.

NB: Sio mimi nimechuka hii video,kiumala mala.:smiley:

Funny thing is, the victim was claiming that, hiyo nduthi ya (@pamba) karao wa kasa. Raiya inaamua kupigia huyo @pamba,asking him if he owns a boxer with that no plate. @pamba, anesama ndio, lakini after kusikia ni mambo na wizi .@pamba tena anaruka ati si yake:D

too huge, not downloading on peasant Internet.

Ngoja monday ,wifi ya mhindi

Wacha nitafute parking kwa hosi… 36+23 mbs ni mingi

Hatuna bundles za kuwaste. Wacha ningoje Monday nikienda tao nitumie wifi