Vijana 11kufa ajalini, huu si uzembe kweli?

Leo wanasindikizwa vijana 11 amnao walifariki katika ajali ambayo ingeweza kuzuilika.

Kwanza, gari lilikiwa bovu, mpkaka kufika lilipopindukia vijana waliopona wanasema ilikuwa kwa kubahatisha.

Pili , dereva na utingo wake amnao walifariki vile vile walikiwa jawajawaho fika wala kupitia barabara yenue changamoto nyingi, hass milima ya Kawetere.

Kusema ajali hiyo ilikuwa bahati mbaya ni kukwepa uwajibikaji.

Najiuliza tu enzi ya Mwalimu vijana, hata kama ni makuruta (recruits), maisha yao yangechezewa hivi?
Kwa upande wa TPDF/JKT mjitathmini kutokana na uzembe huu

Utawala wa kuzimu huu usijekuta wametolewa kafara

Inaumiza sana,ila tumuachie Mungu,maana tukisema iwe jino kwa jino itakuwa ni hatari sana…

Hivi hawa ni vijana wale waliomaliza form six na kwenda kwa mujibu jeshini?

Siji kumruhusu mwanangu aje aende kwenye upumbavu wa JKT.

Ndio hao hao.
Uzembe wa maofisa umeleta umasikini kwa familia.

inasikitisha

Aisee,ndoto zao zimekatishwa gafla…

Ni wale wa kujitolea

Mkuu tujuze Gari lilikuwa bovu kitu gani.?? ili walau nipate relation ya Ubovu wa gari na ajali.

Then nimalizane na JIWE, maana ake Tz tunaelekea tusikokujua

Congo wanajeshi 14+, kibiti askari 7(idadi sina uhakika nayo), mbeya jkt 11 na jwtz 1. walinzi wetu kuwen makini na uongozi wa awamu ya tano

Awamu ya 5, hii si ya 4.

mekerebisha

Ndugu yangu gari inasemekana lilikuwa halina power ya engine wala breki ambazo ni mbovu na za kuchochea.
Kama umefika mitelemko ya milima ya Kawetere bila breki, thats a suicide mission.

Kina uzembe mkubwa hapo kuanzia jeshini,then kwa mwenye gari pia. Uchunguzi ufanyike kote na wahisika wachukuliwe hatua. Hivi najiuliza kama hao vijana wangekuwa na majina kama kikwete,mabeyo,maakufur wangepanda mgari mmmbovu

Mi nawaza inamaana hakukua na magar ya jeshi ambayo yapo salama had ku kodi gari za mitaan? Alaf gar lenyew halikufanyiwa inspection yyte had ajal inatokea ndio wnaanza laumiana…so saad…RIP brothers

Hakika Ni jambo la kuumiza sana

!
!
Sio Uzembe Ndio Uwezo Wetu Ulipoishia

Hapo polisi na jwtz wanatupiana lawama kuwa nani mwenye jukumu la kulikagua gari!!kiukweli jeshi la polisi ndio lilitakiwa kulikagua gari humo barabarani liliko pita hadi linapata ajari kama km tano kabla ya kufika lilipokuwa linakwenda!!Lakini kiuhalisia gari limebeba wanajeshi trafiki angeweza kulisimamisha na kuanza likagua??kwa Tz ni kitu ambacho hakiwezekani kamwe kwani wanajeshi huwa barabarani wanafanya wanavyojua hadi kuhatarisha maisha ya watumiaji wengine wa barabara hususani DSM,utakuta barabara ambayo magari yanaelekea upande mmoja wao ndio wanatokea huko tena!!tena sio kwamba labda kuna dharura yupo dreva tu ila kwa kukwepa foleni anaamua hivyo!!mala ngapi mambo sasa anasema wataanza kuwakamata je wameshafanya hivyo???

kafara tu hizi