2 Likes
Ghaseer hushinda hapo akisoma vile ameitwa kasongo, anajam anapiga bibi ngumi…
Msee huwa immature kiplani, hasira za kitoi kama vile alidu deputy wake…ati juu hataki kufanya vile anataka “atolewe game”
1 Like
My take away point ni hapo amesema “unapiga simu, ‘unaona vile huyu amenitukana?!’”
You can imagine, as I do, to whom that complaint call is made! He is the president and the commander in chief of the armed forces of the republic of Kenya, remember!