Video Of DRAMATIC Robbery. Wueh....

[ATTACH=full]472688[/ATTACH]

Umeoona hio nongwe ikijifanya Jackie chan

Situational awareness ya hao madoggy wote including the police ni 0%. Mnaescort pesa na mmbeba bunduki kama rungu za maasai aje? Institution gani hio inaexpect pesa na hakuna plans za kuingiza. Lakini pia wezi wanakaa cops or excops. Look at how the one with the AK is confidently handling it with one hand even getting off a shot without much recoil.

we utasimamia risasi na mshahara ni peanuts?

Wee i hope hiyo ngombe ya kujaribu kufunga mlango iliponea

@Yuletapeli these are the risks of using police as paid bodyguards to transport money. That uniform is a target just as much as a deterrent.

Lakini huyo karao alitoroka mbio sana :smiley:

ata wenye walileta hizo boxes ,hwawezi protect , wasee kama six against mtu mmoja . lakini why play hero na hukana ata compensation , insurance italipa.

Nowander mwisi @johntez addi gaza msafi amekua akifloss akiwa places za masonko siku hizi:D:D:D:D:D

Inside job

:D:D:D:D

:smiley: Hope haucheki huyo AP alichana mbuga na kuwacha raia wajitetee.

Hao AP wa kulinda cash in transit huwa wamesota. Salary ya 25k after taxes. Hakuna marupurupu. Pia Mimi siwezi ngojea kifo. Ilhali insurance watalipa.

0:42 - the thug almost blew off his accomplice’s head…

Baba ya @RV Pundit anajaribu kufunga mlango,ameona moto

KAZI NI KAZI.

:D:D:D:D:D:D swali tu elders hao karau wametoka nduki na AK wameenda wapi mpaka huyo thug sharpshooter hatishiki wakitoka na money box :D:D:D:D

hio umbwa ningependa sanaa kama angepata risasi ya matako. anajifanya hero na karau washatoka siaka

Si hasoras mume disband Special Service Unit, expect such madness level ya South Africa .

SSUs job was to locate such thugs and eliminate them mapema .

Huyo jamaa alikuwa anajaribu kufunga mlango karibu apigwe copper is the dumbest of them all. Why put your life at risk over insured money and also endanger yourself over the greedy corporations? Udedi bado pesa iende now umewacha familia ikiteseka. Company files insurance claim and they get their money back as you rot 6ft under.