#1: Mr. Bean (Rowan Atkinson) ni msomi!
Baada ya kupata shahada yake ya kwanza katika electrical engineering au uhandisi wa umeme, Atkinson aliendelea na masom hadi kuchukua Masters’ Degree chuo cha Queen, Oxford mwaka 1975. Akiwa Oxford, Atkinson siku moja alijikuta amekaa mbele ya kioo na kuanza kutengeneza sura za kuchekesha. Hapo ndipo Mr. Bean alizaliwa…
TAZAMA VIDEO