World Wide Web (www) ni nafasi ya habari au informative space ambapo nyaraka na vitu vingine vya wavuti vinatambuliwa na URLs maalum, WWW iligunduliwa na Tim Berners Lee mwaka 1989 na tumshukuru sana huyu jamaa maana yeye ndiye aliyeamua web itumike bureee duniani kote