Vice President's Residence

Why build the new one when another one already exists?
They two residences are next to each other in Karen.
[ATTACH=full]417080[/ATTACH][ATTACH=full]417081[/ATTACH][ATTACH=full]417083[/ATTACH]

In reality hii mali inakuwaga ya workers. Wanakula chakula ya mdosi na kutombana tu. Na kuswim. There is a silver lining there.

Chef anakula tu grade A govt export beef saa zile Ruto ako field akichomwa na jua ati anatafuta kura.

Enyewe working there must be fun but at the same time dangerous coz it can fool someone aone ni kama amefika.

Kuna mkamba alikuwa anafanya Kempinski and got used to the food and the life style. When he got fired, he killed himself.

Vile kuna hotels mingi si angehamia tu kwingine. Huyo alikuwa na tunnel vision. Ama alikuwa amefikisha miaka?

You are right, shida ya hizi kazi ni one day you wake up and realize that you never built a palace of your own or bought your own air conditioned Prado. That blow can be devastating yaani settling for less.

Mtu kama Matiang’i saa hii hata sidhani anapata usingizi.10 years of paradise.

:smiley: tragically funny.

Future statehouse?

But hao workers wamesota mbaya. You find a guy earning 15k a month, eating premium food. Saizo hata school fees hana ya watoi wake. I used to visit a friend na huyo worker wao used to give me shit. He thought he was part of the family, alikua ana travel nao, drives their cars, anameza hizo kuku daily… Jamaa aikua ananistaki ati nilienda kuvisit. Story inafika paka my mother, on that day. ati ulikua kwa kina erico leo na ulikua na msichana kwa gari. Nikapata huyo jamaa 15 years later after ameretire. Broke as hell.

Waaah. Aki in life ni mbaya kuwa satisfied yet huna anything.