Hey guys tired of buying 4500 shoes after 3months zmechapa any legit places i can get good shoes in nrb
Hizo viatu zako za kshs 4500 in reality ni 900shs huko shiku Histyle.
Siri ni kuwa na viatu mingi, daily unachange. Hauko high school ati unavaa kiatu moja 3 months straight.
ndo nadai unionyeshe izo mashimo bro nmebuy viatu za 50k hii mwaka bwana sai inabdi nibuu zingine
Plugs ni mingi, but kindly avoid these stalls in town and Eastleigh. Zimejaa viatu fake sana called mikate. Wont last past this rainy season December.
I normally prefer my shoes second hand, huwa zinakaa way much longer. Lakini labda wewe ni mtu wa class huwezi ingia mashimo given you have spend 50gs on new shoes alone this year.
Acha ktalk birrionaires wakuje to your rescue! @DukeOfKabeteshire
sitaki upuzi ya class bwana i just want good shoes nmeona uyo shiko ako na legit deal heri nibuy pair nne za 10k kuliko kubuy 9k apa stalls za tao na viatu ata hazikai shida uko kwa shiko naona ni kupanga line kama high school
Rustler nanunuanga viatu exclusively from Bata and decathlon outdoor/sports gear stores. Angalao they have products that can survive my choosen profession and the ragged terrain I operate from.
Had the same concerns some years back, and noticed I was spending a lot on “affordable” shoes, It’s cheaper in the long run to import, because vendors in the country also have insane markups.
Try UK brands, they’ll really give you value for money, especially if they are on offer.
ingine ilinileta aibu… important meeting kufika, inafungua mdomo kama crocodile make it a habit kupitia kwa fundi apige uzi
Kiatu enda gikomba
Ingia gikosh or Ngara utafute viatu za mtush
Nunua toughees za high school.
It is a taboo to wear dead people’s shoes and clothes.
Kama uko karibu na Ngong Rd unaweza tembea Toi Market hapo Adams Arcade, pia Karen.
Sande sana elder
Ndula tunashika za Gikosh, kuwa na msee mmoja ama wawili wanakujenga ndula type ina ku nice wakifungua bale.
Good Response…
I use pure leather shoes kama safari boots na zingine custom made ni mevalia zingine for almost 8 years 8k a shoe.
Hizi viatu zenu zinakaa aje kwani. I wear shoes for 1 yr plus every single day
That’s the good thing with leather.
Try a 3 day journey where you aren’t going to change shoes. Kama ni sneaks, the sweat becomes a menace and stinks em up. Leather with non clothy laces zina-air overnight, unarudi tu fiti.
Safari ata kama ni 1 day sivaangi sneakers incase i delay far from home.
Gikosh mtumba ama Bata…stalls utalimwa ushangae. Kuna fantasy belt nilinunua stalls. I think 3k hapo. Less than a year the leather strap zikatokana kumbe hiyo leather ni fake imeshikanishwa na glue. Ikamaa ni kama niko na mishipi mbili na buckle moja. On the other hand niko na belt nilishika nikiwa high school na hadi wa leo niko nayo…got it in gikomba…zile belt huwa na tushimo all round the belt…