Kwani hakuna perfume ingine watu hutumia hii Nairobi apart from this…from makangas , to receptionists to office slaykings…get something else ama kaa hivo…yaani sai within 30 minutes walk you will have to stumble to at least two people using this perfume…my assumption is ni zile refills za uko Dubois…get something else bana it’s too common imekuwa a nuisance
Mwanaume ni kutumia Brut
Still better than kunuka jasho
brut bindu shi?
mwanaume ni kuoga halafu unapaka sabuni kwa mikono unajipaka kama mafuta unasmell fresh aaa dey eer’ day bruh!!
I use Rexona and Lady Gay they never let me down
Uko na hii kwa stock pale cbd?
Nooo kuna vile it’s too common imekuwa kama kunuka jasho sasa
The whole point of cologne is to smell fresh and unique. I hate Kenya Uniforms
People like identities they just go with whats popping
Imekua kama perfume za woria banae